Colors : KITENGE with different colors
Bi Fatma akiingia ukumbini kwa mbwembwe na swaga za kitaarabu hapo...Mwanamke alipendeza huyu jamani LOH! ..
UKAFIKA MUDA WA UTAMBULISHO ......Bi Fatma akashika kipaza sauti nakuanza kuwatambulisha ndugu, jamaa na marafiki .....
Mashangazi hao..walipendezaje !
Mama mdogo wa ukwee toka kahama eh! chezea upendo wa mama wewee !
Mtoto wa kike ka chozi kalimtoka akikumbuka utarudi kutembea mh!
UKAFIKA MUDA WA CHAMPAGNE.
Kila meza ilikua na chupa ya champagne...mtoto wa kike alijipangaje!
UPANDE WA BURUDANI NDIO USISEME ! (Taarabu & kwaito zilitawala)
Bi AFUA SULEIMAN aliongoza jahazi la burudani upande wa taarabu......
MC WA SIKU HIYO ALIKUWA JAMILA KITIMTIM ...mamaa ya mujini...
Hapa chacha kwenye KEKI....Palitumika ubunifu wa hali ya juu ..eeh mambo ya Jagi na kikombe.
WAKAINGIA MASOMO WA BI FATMA......chezea Gea Habibu na kundi lake wewe! wenye roho zao za kisokorokwinyo chalii!
TOTO LA KICHAGA aka mamaa twende harusini NILIKUA NDANI EH!...kiruuuuu!
IKAFIKIA KWENYE ZAWADI.......mie mdomo nikafunga,nikawa najionea tu.
HIVI NDIVYO WAGENI WALIVYOTUPIA KWENYE RED CARPET.
full mauzo knoma noma.............!!!!!!!!!
ReplyDelete