Habari Wadau wetu wa Twende Harusini Blog !
Mada kuu leo.
mara nyingi wasichana huwa tunavikwa pete siku ya engagement day!! sasa endapo hitatakiwa mvulana/mchumba umzawadie msichana kitu tofauti na pete, Je utampa msichana/mchumba huyo nini ?? na hendapo msichana naye atatakiwa ampe mvulana zawadi baada ya kuvishwa pete atatakiwa ampe zawadi gani mchumba wake huyo?!
KARIBUNI SANA TUCHANGIE MAONI.
HAPO CHINI NI AINA MBALIMBALI ZA PETE ZA UCHUMBA.
mm nitampa saa ambayo itakua na stones nyingi...kama nikiwa well of ntahakikisha stones ni za diamond au tanzanite.
ReplyDelete