Pages
▼
Sunday, November 24, 2013
WINFRIDA KITIMBO BRIDAL SHOWER AT PICOLO BEACH HOTEL ------ Episode 1
BRIDE :: WINFRIDA KITIMBO
VENUE:: PICOLO BEACH HOTEL
DRESS CODE:: B2A
MC:: ANNA
COLOR:: WHITE ,PINK & BLACK.
Huyo ndiye Bridal Bi Winfrida Kitimbo
Her natural hairstyle makes her so cute & unique
Hakika alipendeza sana Mrembo huyu
Gauni yake ya pink ilimfanya avutie zaidi
Mashaalah! mtoto wa kisukuma
Wow! hao ndio maids wake waliovalia black and white
They got styles lol......kaa humo saaana miaka mia
BAAASSSII.........................wamenivunjia record lol ya mwaka 2013
Mamaaa ya Twende Harusini pia nilikuwepo kuhakikisha watu wangu wa nguvu hampitwi.
Naye Designer wa maids hao Mrembo anayekwenda kwa jina la Sane kati hapo
Mdau wa picha aliyevutiwa na warembo hao -- Fatuma kati hapo
Hapana chezea kabisa timu nzima ya Dayana na Rahma wewe!
umeona combo mix hapo si kila kitu unamechisha tuu..
Umeweza Mrembo--- funika sana
Bi harusi mtarajiwa na Mdogo wake Dayana
Mama mzazi wa Winfrida
Wageni waalikwa upande wa mama Winfrida
MAMBO YALIANZA HAPAAA!!!!!!!!!!!
Haya na mkodoe sana ---- mambo ya ubunifu hayo
warembo wakilisakata rumba hapo
Mwenyekiti wa kamati Bi Edith,Mjumbe na mie The Lady Herself
Hapana chezea watu na smiles zao bwana......yani RAAAHA!
HERE COMES THE BRIDE............................................
Mrembo ulipendeza sana
Bibie akiingia kwa makeke hapo.......u moyo ! umoyo eeh!
Wadau wa Austin Company, Mama D na Mamie Lulu nao hawakuwa nyuma
Muweka hazina na mjumbe mwingine wa kamati
MC washughuli yetu alikua ANNA wa AIRPORT
wenyewe wanakuambia watu na rangi zao Natural ---- Black is always beautiful & expensive
Kamati ya Winfrida Bridal shower......wenyewe wanawaita manahodha wa shughuli
Mama wa Bi harusi akitambulishwa
Shangazi wa Bi Harusi mtarajiwa
Mama Mdogo wa Bi harusi Mtarajiwa
Mdogo wa Bi Harusi Mtarajiwa ---Dayana
Ma wifi wa Bi harusi mtarajiwa
Wageni mbalimbali
Austin Company nao walipata nafasi ya kupiga picha ya pamoja na Bi Harusi Mtarajiwa
TO BE CONTINUE............... Zitaendelea!
Jaman mmependeza mpaka raha sana,hongereni sana kwa wote walio design mavaz,i just fell in love with how beaoutiful u all look...big up
ReplyDeleteHongera sana winie umependeza sana so cute .......mama wa blog hongera sana keep it up......tunangojea sendoff na harusi ......sendoff pia ilipendezaje..... .........hongera sana
ReplyDelete