FATMA HASSAN KITCHEN PARTY --- NADDS HALL ,SALENDER BRIDGE


Colors : KITENGE with different colors


Bi Fatma akiingia ukumbini kwa mbwembwe na swaga za kitaarabu hapo...Mwanamke alipendeza huyu jamani  LOH! ..
UKAFIKA MUDA WA UTAMBULISHO ......Bi Fatma akashika kipaza sauti nakuanza kuwatambulisha ndugu, jamaa na marafiki .....

                                                      Mashangazi hao..walipendezaje !
                        
                       Mama mdogo wa ukwee toka kahama eh! chezea upendo wa mama wewee !


                                Mtoto wa kike ka chozi kalimtoka akikumbuka utarudi kutembea mh!                              
    UKAFIKA MUDA WA CHAMPAGNE.

                               Kila meza ilikua na chupa ya champagne...mtoto wa kike alijipangaje!

UPANDE WA BURUDANI NDIO USISEME ! (Taarabu & kwaito zilitawala)

Bi AFUA SULEIMAN aliongoza jahazi la burudani upande wa taarabu......                    MC WA SIKU HIYO ALIKUWA JAMILA KITIMTIM ...mamaa ya mujini...
     Hapa chacha kwenye KEKI....Palitumika ubunifu wa hali ya juu ..eeh mambo ya Jagi na kikombe.
   
 WAKAINGIA MASOMO WA BI FATMA......chezea Gea Habibu na kundi lake wewe! wenye roho     zao za kisokorokwinyo chalii!TOTO LA KICHAGA aka mamaa twende harusini  NILIKUA NDANI EH!...kiruuuuu!

MBWEMBWE ZA FATMA HAZIKUISHIA HAPO.....mrembo alienda kubadili na kurudi na viwalo vipya..uwiiiii aliwachapaje watu bakora tena za usoni...


 


           IKAFIKIA KWENYE ZAWADI.......mie mdomo nikafunga,nikawa najionea tu.


HIVI NDIVYO WAGENI WALIVYOTUPIA KWENYE RED CARPET.

1 comment:

Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..