STEVEN MOFULU ENGAGEMENT DAY


Nampa Hongera STEVEN  kwa kumvalisha PETE ya uchumba mpenzi wake, TWENDE HARUSINI BLOG inawatakia maandalizi mema ya harusi yenu .






   Ni Maamuzi tu uhitajika katika kuonyesha upendo ulionao kwa    yule umpendaye,pia ni jambo la kupendeza sana wazazi    wakishuhudia tukio muhimu kama hili.

  
         Pete iliyohusika kufanya siku hiyo kuwa muhimu kwao.

0 comments:

Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..