HAYA HAPA MASWALI YA KUULIZANA WANANDOA WATARAJIWA KABLA YA KUOANA



Wanandoa watarajiwa walio wengi hufanya maandalizi makubwa ya sherehe ya harusi kuliko maandalizi ya kuishi maisha mapya wanayoyaendea. Ingawa si wote wanaweza wakawa wawazi/wakweli lakini ni vyema mkaulizana maswali yafuatayo kabla ya kuingia kwenye ndoa:-
 1. Kwa nini unaoa/kuolewa?
 2. Una uhakika uko tayari kwa ndoa?(sio harusi)? 
 3 .Matarajio yako ni nini katika ndoa? 
 4 .Mahitaji yako ni nini katika ndoa? 
 5. Ni sababu zipi zinaweza kukufanya uachane na mwenzio?
 6. Vitu gani usivyopenda kutoka kwa mwenzio? 
 7. Vitu gani mwenzio anapenda toka kwako? 



0 comments:

Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..