KISANGA CAKES :: TOKA KWA MBUNIFU NA MTENGENEZAJI LILIAN KISANGA


Lilian Kisanga Ni Mwanamke Hodari, Mbunifu na Fundi hasa wa kuoka keki ,yeye utengeneza keki za shughuli mbalimbali kama vile Keki za HARUSI,SENDOFF,KITCHEN PARTY,BIRTHDAY,UBARIKIO,SHUGHULI ZA KIOFISI,UZINDUZI nk, Hakika ukizitizama keki zake lazima utakubaliana nami kuwa ameleta mchango mkubwa sana kwenye mabadiliko ya uokaji keki hapa Tanzania.

  • wasiliana naye Kupitia 0754217828 au 0653 500527








  Mara ya kwanza naziona keki zake kwenye picha mbalimbali ndani ya mitandao ya kijamii nilidhani amecopy tu na kupaste wala sikuamini kama atakua mbunifu kiasi hicho, kwa bahati nzuri rafiki yangu mmoja alikua anaolewa hivyo akaniweka kwenye kamati ya kusimamia Keki nami sikusita nikamtafuta Lilian Kisanga na Kumpa oda ya kutengenezewa keki,




 hakika nakuambia wengi waliishangaa sana keki aliyonitengenezea na wengi walidhani ni uzuri tu wa nje na ndani itakuwa hovyo....lakini walipoonja hawakuamini kuwa wapo wabunifu hodari waokaji wa keki TANZANIA kama LILIAN KISANGA,wengi walichukua namba yake na wengi wametengenezewa keki na mwanamke huyu mjasiriamali..











TWENDE HARUSINI BLOG kupitia KIPENGELE CHA KEKI HARUSINI kinakupongeza sana LILIAN kwa ubunifu wako katika uandaaji na utengenezaji wa Keki mbalimbali.







Kwa Picha zaidi za KISANGA CAKES like Facebook PAGE YETU.
www.facebook.com/twendeharusini



0 comments:

Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..