MC /MASTER OF CEREMONY WA WIKI --MC PILIPILI

Anaitwa MC PILIPILI,nimaarufu sana kwa kazi yake nzuri ya uchekeshaji hasa akiwa kazini, hakika ukitaka ufurahi,ucheke na kutunza vizuri kumbukumbu ya shughuli yako basi huna budi kumtafuta huyu bwana mdogo.








0 comments:

Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..