Identical triplets marry on the same day at the same time ......Mapacha watatu waolewa siku moja na muda mmoja..
Rafaela, Rochele na Tagiane Raia wa Brazil wamefunga ndoa siku moja na muda mmoja na kuishangaza dunia hapo Jana.. Mapacha hao watatu wenye umri wa miaka 29 walichagua kuvaa mavazi sare siku yao hiyo na kutofautiana katika maua ya kushika mkononi. Fuatilia zaidi kwa picha hizi.
"The real act of marriage takes place in the heart, not in the ballroom or church or synagogue. It's a choice you make - not just on your wedding day, but over and over again - and that choice is reflected in the way you treat your husband or wife...". Barbara de angelis
wow this is actually interesting and beautiful
ReplyDelete