UNAZUNGUMZIAJE CHAKULA CHA SIKU IZI UWAPO HARUSINI?


Miaka ya zamani chakula katika sherehe nyingi za kiafrika kilikua rahisi na chenye kufanana kwa makabila mbalimbali ila zama za sasa vyakula vimekua vingi na vigeni kwani wengi wanaweka vionjo vya nchi mbalimbali na kupoteza kabisa uhalisia wa tamaduni zetu katika shughuli mbalimbali.

wewe kama mwanaharusini unalionaje ilo?













SUALA LA CHAKULA LIKOJE SIKU IZI HARUSINI

0 comments:

Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..