IDEA ya ZIWANI ....HAKIKA ILIPENDEZA SAAANA!..
IDEA ya ZIWANI ....HAKIKA ILIPENDEZA SAAANA!..
Quirky pair Russell Brand and Katy Perry married at a luxury resort outside the Ranthambhore tiger sanctuary in the Indian state of Rajasthan. The couple’s six-day celebration included a Hindu wedding ceremony, elephants, drum players and the pair staying in a luxury tent at the Aman-i-Khas resort.
Jamie Oliver married his school sweetheart, Jools, at a church service in his home county of Essex. The pair had been dating for ten years before they tied the knot, and have since had four children.
When Tom Parker Bowles married Sarah Buys it wasn’t quite a Royal Wedding but it was very close. Guests in attendance included Tom’s step-father Prince Charles, Sir Mick Jagger and Hugh Grant, and the reception took place at Sara’s parents’ country estate.
Michael Bublé’s wedding can only be described as eventful. His Argentinean bride, Luisana Lopilato, wore three dresses and the star sang “Haven’t Met You Yet”, which he wrote just for her, at the reception. But, unfortunately, while all this was going on, thieves disabled the alarm at their home nearby and burgled the newly-weds
Gwen Stefani is our favourite celeb bride – the punk princess married Gavin Rossdale in a custom-made pink and white gown by John Galliano. That picture-perfect kiss still makes us shiny-eyed…
Both Courteney Cox and David Arquette wore Valentino and were all smiles on their big day But then they had hired 50s comedic husband-and-wife team Lucille Ball and Desi Arnaz to entertain guests over their lobster and steak. Sadly the pair have since separated.
Grace Kelly set the bridal standard when she married Prince Rainier III of Monaco in 1956 in a fairytale dress of pale pink taffeta and cream-colored Alencon lace, worn with kid gloves and a Juliet cap.
Lucky Eva Longoria had two weddings when she tied the knot with now-ex-husband Tony Parker. The Desperate Housewives star wore a pink Chanel mini dress and silver slingbacks for the first, civil ceremony in Paris, before changing into an Angel Sanchez couture gown for the religious ceremony.
Davinia Taylor had several glam guests at her wedding to Dave Gardner – Victoria Beckham nearly stole the show in a lace frock, but Davinia’s £50,000 ivory and silver dress ensured all eyes were on her. Unfortunately, the marriage didn't last and the pair separated three times before finally divorcing in 2005.
For Kate Winslet’s first marriage to Jamie Threapleton, the actress wore a white Alexander McQueen dress decorated with white and yellow roses. The ceremony was officiated by the same vicar who baptised the actress as a child, and afterwards guests were treated to bangers and mash at the bride’s favourite pub, The Crooked Billet.
Lord of the Rings star Liv Tyler commissioned Alexander McQueen to make the gown for her wedding to British rocker Royston Langdon. Though the couple had already said their vows on Barbados, they held a reception at New York’s Pastis restaurant and packed it full of rock and roll royalty, including Steve Tyler, Todd Rundgren, David Bowie, Iman, Kate Hudson and her then-husband Chris Robinson.
Katie Holmes and Tom Cruise had the celebrity wedding of 2006. The bride’s Armani gown featured an ivory silk train draped with Valenciennes lace and Swarovski beaded crystal embroidery
We were shocked when Renée Zellweger married country star Kenny Chesney in a beach ceremony in 2005, but her choice of designer for her strapless, satin gown was no surprise – Carolina Herrera. Sadly the marriage wasn't meant to be and Renée had it annulled a few months later.
Tess Daly married her model beau, Vernon Kay, in a classic white strapless wedding dress by Marina Adanou with Jimmy Choo shoes and a delicate, sparkling tiara in her hair.
Stylist Katy England didn’t wear a conventional gown for her wedding to Primal Scream’s Bobby Gillespie – instead she chose a pink and white candy-striped affair, while the groom wore a rose-embroidered tux.
Michelle and Barack Obama were married at the Trinity United Church of Christ in Chicago in 1992. The future president and First Lady chose Stevie Wonder’s “You and I” as their wedding dance.
With a large number of Hollywood A-listers and fashion glitterati in attendance, the masquerade theme at Salma Hayek’s wedding to PPR boss Francois Henri Pinault seemed particularly well chosen. The likes of Charlize Theron, Lily Cole and Penelope Cruz were transported by water taxi along Venice’s canals to the city’s 18th century La Fenice opera house for the civil ceremony.
After an intimate wedding in Santa Monica, California, Gisele and Tom Brady treated guests to a second ceremony in Costa Rica. The bride wore an ivory, strapless gown before changing into jeans and a sweatsuit to really let her long, flowing locks down.
Mapenzi yanataka elimu, lakini si wote wanaojielimisha namna ya kuwafanya wapenzi wao wajione kuwa ni salama na hivyo kuyafanya mapenzi yao kudumu kwa muda mrefu. Wanaume wa siku hizi wamekuwa hawafahamu ni vitu gani ambavyo wanawake wanapenda kuvipata kutoka kwao.
Kushindwa kuwa na elimu hii, wanaume wengi wamejikuta wakitumia ukali kuwatawala wake zao, jambo ambalo limekuwa likizidisha migogoro ya kimapenzi na hatimaye wapenzi huachana. Yafuatayo ni mambo muhimu ambayo wanawake hupenda watendewe na wapenzi wao.
KUTATULIWA MATATIZO
KUBEMBELEZWA
Wanawake hupenda kubembelezwa pale wanapokuwa na huzuni, wengi wao hawapendi kukaripiwa, mara nyingi hupenda kuungwa mkono wanapokuwa na misuguano na wengine. Ili mwanaume amteke kimapenzi mwanamke lazima awe nyuma yake hata kama atakuwa na kosa. Wanawake wengi hupenda kuelimishwa zaidi kuliko kufokewa.
KUWA NAMBA MOJA Safari ya penzi la mwanamke haishii kwenye kumpata na kummiliki, kisha kujisahau kwa kisingizio kuwa umemuoa au umemvisha pete ya uchumba, ni zaidi ya hapo. Jambo la tatu ambalo wanawake wengi huhitaji ni kuwa namba moja au kupendwa.
Wanapenda watangulizwe katika mapenzi na kusiwepo na mwingine wa kuchukua nafasi yao katika mazungumzo na mapenzi kwa ujumla. Wanawake hawapendi kuitwa majina mabaya kwa mfano mjinga, Malaya au kulinganishwa na wanawake wenzao wabaya.
KURIDHISHWA KWENYE TENDO Hata kama utakuwa na kiwango kikubwa cha mapenzi juu ya mpenzi wako kwa kiwango gani, ukiwa dhaifu katika tendo la ndoa utayumbisha penzi lako. Ni wajibu wa mwanaume kuhakikisha kuwa anamtosheleza mpenzi wake katika tendo hilo. Utundu unahitajika ili kumkata kiu mpenzi wako.
MAZUNGUMZO Wanawake wanatajwa kuzungumza maneno 25,000 kwa siku, huku wanaume wakibaki na kiwango cha maneno 5,000 kwa siku, hii ikiwa na maana kuwa wanawake hupenda zaidi kujieleza walivyo mbele ya wengine. Kwa msingi huo wakizuiwa wasiongee hujiona kama wanakosa nafasi muhimu ya kueleza mawazo yao. Kama una mpenzi wako mpe uhuru wa kuzungumza na kumsikiliza bila kumkatiza kwa ukali.
Kwa hisani ya Rich Manyota.
BRIDE :: AMY KIBATALA
VENUE:: MLIMANI CITY HALL
DRESS CODE::B2A
MC::
COLOR:: ORANGE & BLUE .
Mrembo Amy akitambulisha ndugu, jamaa na marafiki
pendeza sana wewe ! me love ulivyotengeneza nywele.
The gown look so lovely jamani..
Fill more secure here with my men....
Wakushoto ndio shemeji yenu eeh!
Kwaito imenogaje !
Wanaume wengi wanapobaini kuwa wapenzi wao wanawasaliti, hutunisha misuli kuonesha umwamba kwa kuwatwanga makonde wapenzi wao au kuwafanyia mbaya wale waliowanasa. Lakini uchunguzi wa wana mapenzi unaonesha kuwa ubabe haukomeshi tabia ya usaliti.
Kuna wengi ambao waliwafumania wake zao, wakawapiga na kuwajeruhi, lakini wakajikuta hawakukomesha tatizo, zaidi ya kuwapa usugu wapenzi wao wa kuendeleza wizi tena kwa dharau na kejeli huku wakibembelezana kwa maneno haya: “mzushi kaenda kazini njoo sasa hivi Wapendanao Gesti” au “vipi yule bwege alikuuliza jana ulipochelewa kurudi” Jamaa anaweza kumuuliza hivyo mke au mpenzi wa mtu.
Katika hali ya kawaida usaliti ni jambo linalouma kwa kiwango kikubwa. Katika mapenzi hakuna suala la kuazimana mume/mke. Watu huazimana magari na pesa, lakini laazizi hakuna jasiri wa namna hiyo! Hivyo ndivyo lakini, kupiga au kuachana baada ya kufumaniana kunasaidia? Jibu hakusaidii, kwani ukimpiga adhabu inaishia hapo hapo, kesho yake watakaokutana watakusaliti tena kupozana machungu.
Maamuzi ya kuacha naye hayasaidii kwani ukimwacha mpenzi wako hujamtibu, utakuwa umetoa mwanya wa yeye kuendelea kukusaliti na kukuumiza zaidi pale macho yako yatakapowaona wameshikana mikono mitaani kwa uhuru na raha zao.
Ukiamua kuua na wewe utauawa, huku wanadamu wenzako wakikucheka kwa uzembe wa kufikiri. Jamani usaliti upo kila siku, si tunawaona wake na wapenzi wa watu wanaingizana gesti kila siku?
Hivyo, kama hujamfuma mpenzi wako leo kuna siku utakutana na meseji kali akibembelezana na ‘kidume’ mwingine kwa maeneo fulani. Utafanyaje baada ya kubaini hivyo, maana kama ni tukio basi utakuwa umeona lile la stejini laivuuuuuu bila chenga. Twende pamoja ili tuelimishane kama wadau wa mapenzi njia sahihi ya kufanya ili kumwadhibu mpenzi msaliti.
Kwanza, baada ya kuwaona uso kwa macho wakisaliti penzi, unatakiwa kutoa ishara zitakazoonesha kuwa umewaona, halafu ondoka eneo hilo. Ukifika home mtu mzima endelea kunywa maji ili kupoza presha. Akirudi mpenzi wako jitahidi kumkaribisha kwa bashasha, lakini usimuulize ulichoona mwache aendelee kujiuliza mwenyewe.
Au kama umenasa meseji za kimahaba kutoka kwa mwizi wako, zitume kwenye simu yako kwanza, kisha baada ya kumaliza uchunguzi wako mtumie tena sms hizo mkeo/mumeo. Ukifanya hivyo usimuulize, endelea kumpenda na ikiwezekana ongeza matunzo. Nunua ‘mikuku’ akaange kila siku na umpe penzi moto moto.
Nakwambia ukifanya hivyo mpenzi wako ataumia sana na hataendelea kukusaliti kwa kuwa atakuwa anawaza unafikiria kumfanya nini? Na kwa yule uliyemshika naye, vivyo hivyo usizozane naye, mwache! Utashangaa anahama eneo maana atakuwa anafikiri unamwandalia kombora kumbe wewe wala, umeamua kujituliza tu!
Wadau wa mapenzi hii ndiyo dawa ya mtu msaliti. Mwadhibu kwa upole, wanasaikolojia wameithibitisha adhabu hii kuwa ina uchungu mara 1,000 zaidi ya kupiga au kukemea. Ukisema umwache siyo dawa kwani unaweza kutafuta mwanamke/mwanaume mwingine naye akawa na tabia zile zile, ikiwa ndivyo utaacha wangapi basi katika maisha haya?
Adhabu ya mpenzi anayekusaliti ni kumnasa kwenye usaliti wake kisha kumpuuza huku wewe ukiendelea na mambo yako kama kawaida, ukifanya hivyo utakuwa unamtibu ugonjwa wake wa kupenda penda hovyo na hii ndiyo dawa hasa ya kumponya msaliti, lakini pia inasaidia kupunguza maumivu ya penzi. Kumchunga na kumlilia machozi hakusaidii.
kwa hisani ya Rich Manyota.
Utundu wa picha usaidia kufanya harusi ing'are
Msanii wa maigizo maarufu kwa jina la kashi amerafiki muda mfupi leo katika hospitali ya muhimbili alikokuwa amelazwa.
PUMZIKA KWA AMANI KASHI
Subscribe to:
Posts (Atom)