Watu
huoana kufuatana na utashi wao na sababu wanazozijua wenyewe. Hata
hivyo ni sawa tukisema kwamba watu wengi huingia kwenye ndoa kwa lengo
la kuishi na yule wampendae kwa kadri inavyowezekana. Kwa wale ambao
viapo vyao vya ndoa vinasema “hadi kifo kiwatenganishe”, tunaweza
kusema kwamba, wanaingia kwenye ndoa kwa maisha ya kudumu pamoja hadi
watakapoiaga dunia. Ndoa inawapatia wanandoa uhalali kiimani, kimila na
kisheria wa kuishi kinyumba, kuzaa na kulea watoto, kutunzana,
kupendana kwa kiwango cha juu na pia kuhudumiana. Mwanandoa anapata haki
zake na kubanwa kutekeleza wajibu unaompasa kutimiza.Kwa maneno
mengine ndoa zina miiko yake na kanuni na taratibu zake ambazo zinapaswa
kuzingatiwa ili ndoa isimame.
Pamoja na kwamba
lengo la kuoana ni kuishi na kudumu pamoja, hali halisi ni kwamba kuoana
na kuachana siku hizi ni jambo la kawaida. Ndoa zinafungwa tena kwa
gharama kubwa. Watu wanasherehekea na kushuhudia viapo vya mke na mume
kuishi pamoja maisha yao yote tena kwa mapenzi makubwa katika hali zote.
Ni ya kweli hayo au ni mchezo wa kuigiza tu? Baada ya sherehe na
cherekochereko wanandoa wanaanza maisha katika hali halisi ya maisha. The party is over. Kufumba na kufumbua unasikia hawapo tena pamoja. Sababu zipo nyingi ikiwemo kukosa uvumilivu na subira.
Mwanzo wa ndoa
tunaambiwa ni tamu kama chungwa, katikati ni tamu kama limao au ndimu na
mwishowe huweza kuwa chungu kama shubiri! Inapokuwa kwenye utamu wa
chungwa, wanandoa huwa kwenye ulimwengu wa kivyaovyao, wa kiparadiso
fulani na siyo rahisi kufikiria kuna siku ndoa hiyo itakapogeuka kuwa
chungu! Maisha ya ndoa, siyo lelemama, ni safari isiyo na ramani
inayoeleweka. Kuna sehemu itakuwa tambarare, mara utakutana na mabonde,
milima na wakati mwingine utalazimika kupita juu ya madaraja mabovu ya
kuvuka mito yenye mamba na viboko!
- See more at:
http://www.fikrapevu.com/kwanini-wanawake-wanaamua-kubaki-na-waume-wanaosaliti-mahusiano-ya-ndoa/#sthash.ks3zQfAd.dpuf

http://www.fikrapevu.com/kwanini-wanawake-wanaamua-kubaki-na-waume-wanaosaliti-mahusiano-ya-ndoa/#sthash.ks3zQfAd.dpu

http://www.fikrapevu.com/kwanini-wanawake-wanaamua-kubaki-na-waume-wanaosaliti-mahusiano-ya-ndoa/#sthash.ks3zQfAd.dp

Huyu hapa NAKSHI akituelezea kwa ufupi ...
NDUGU
zangu, katika maisha ya sasa kuna watu flani ambao ukiona wana ukaribu
uliopitiliza kwa mke wako, jua kuna jambo nyuma ya pazia na
ukishangaashangaa unaweza kujikuta unamegewa penzi lako hivihivi.
Hiki nitakachokielezea leo
nimekifanyia uchunguzi wa muda mrefu na kwa wale waliokumbana na hali
halisi ya mambo, watakubaliana nami kwa asilimia zote. Juzi nilipata
bahati ya kusuluhisha ugomvi wa rafiki yangu ambaye yeye na mkewe ni
wafanyabiashara.
Chanzo
cha ugomvi wao ni daktari mmoja ambaye inaonekana kwa muda mrefu
amekuwa ‘akiitafuna’ ndoa yao na siku hiyo ndiyo ule msemo wa za mwizi
arobaini ulipotimia. Rafiki yangu huyo alinasa sms kutoka kwa dokta huyo
akitaka wakutane na mkewe siku hiyo.
Bahati ni kwamba, mwanaume huyo alikuwa akimpenda sana mke wake na hata nilipomshauri amsamehe waanze ukurasa mpya, alinielewa.
Lakini wakati hilo likitokea, jana
yake nilisoma habari ya mke wa mtu aliyefumaniwa na kijana mmoja ambaye
ni muuza genge mtaani kwao. Aibu ilioje kwa mwanamke huyo! Hivi
inakuwaje mpaka mke wa mtu ambaye mume wake anahangaika juani kutafuta
noti kisha mkewe huku nyuma anatoa penzi kwa muuza genge kirahisi? Hii
inauma sana!
Matukio hayo mawili yalinifanya nifikie hatua ya kuandika makala haya juu ya watu wanaongoza kwa kusambaratisha ndoa za watu.
Muuza genge
Kuna tabia ambayo baadhi ya wanawake
walio katika ndoa wanayo ya kubana matumizi yao ya kila siku kwa lengo
la kuweka fedha za kufanyia mambo mengine baadaye.
Katika mazingira hayo wapo
wanaojiweka karibu sana na watu hao wakiamini watapewa vitu vya bure
kama vile nyanya, vitunguu nk. Wanawake wa sampuli hii wakikutana na
wauza genge viwembe hawawezi kupona na ndiyo maana mwanaume anashauriwa
kuwa makini sana na wauza magenge.
Mwalimu
Hapa nazungumzia zaidi walimu wa
vyuoni. Baadhi yao wamekuwa wakiwarubuni wanawake kwa kuwaahidi
kuwafaulisha kwenye mitihani na wamekuwa wakiwatishia kuwafelisha endapo
watawachomolea. Hilo limekuwa likiwafanya baadhi ya wanawake wasio na
msimamo kuwa tayari kwa lolote ili mradi wafaulu.
Dereva bajaji, teksi
Nani asiyejua kuwa baadhi yao
wanaongoza kwa ukware? Kwa kifupi hawa ni miongoni mwa watu ambao
mwanaume hatakiwi kukubali ukaribu uliopitiliza kwa wake zao kwani
historia inaonesha wengi wao wamekuwa wepesi wa kuomba penzi hasa mazoea
yanapovuka mipaka.
Muuza duka
Mama mmoja ambaye mume wake anafanya
biashara za kusafiri mikoani alinaswa na mpangaji ambaye kwenye nyumba
anayoishi mwanaume huyo ana duka. Baada ya tukio hilo ilibainika mama
huyo alikuwa na tabia ya kuchukua vitu dukani hapo na siku hiyo
alipotakiwa kulipa alimwambia kimasihara kuwa, yeye hana fedha kama vipi
wamalizane kwa njia nyingine.
Kama mwanamke huyu alivyosema, wapo
wake za watu ambao wamekuwa wakijirahisi sana kwa wauza duka wakijua
itakuwa rahisi kwao kuambulia vitu vidogodogo na fedha. Kwa maana hiyo
mkeo si wa kumruhusu kuwa na uhusiano wa karibu sana na wauza duka.
Mganga wa kienyeji.
Wapo waganga wa kienyeji ambao ni
wasanii tu. Katika hawa wanaodaiwa kuwa wasumbufu kwa wake za watu ni
wale wanaojidai kutibu magonjwa ya kinamama.