PETER OKOYE & LOLA TRADITIONAL WEDDING IN NIGERIA























































RITA MWAMANGA BRIDAL SHOWER.....


                                                      Emelda,Rita na Mama Yao











ANNE KANSIIME REAL TRADITIONAL WEDDING IN UGANDA










HARUSINI WITH FASHION ---NOVEMBER 2013


















JE UNAZIJUA TAMADUNI ZA MAKABILA YA KITANZANIA HARUSINI ??




NI ZIPI TAMADUNI MBALIMBALI ZA MAKABILA YA KITANZANIA KATIKA SUALA LA 
     HARUSI/NDOA KWA VIPENGELE VIFUATAVYO?

  1.     NI YAPI MUHIMU WAKATI WA KUPOSA?
  2.     UMUHIMU WA MAHARI NA GHARAMA ZAKE KTK MAKABILA MBALIMBALI?
  3.    NI IPI NAFASI YA WAZAZI/WIFI/SHEMEJI KATIKA HARUSI/NDOA ?
  4.    KATIKA SIKU YA HARUSI MATUKIO MUHIMU NI YAPI?
  5.    CHAKULA KIPI NI FAHARI YA KABILA SIKU YA HARUSI NA KWA NINI?
  6.  NA MWISHO NAFASI YA MTOTO BAADA YA NDOA NI IPI?


 WADAU WA HARUSINI FUNGUKENI NA MPENDEKEZI KABILA LA KWANZA TUTAKALOANZA KULICHAMBUA HAPA HAPA TWENDE HARUSINI WIKI IJAYO.

                                                         KARIBUNI SANA

       
Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..