Identical triplets marry on the same day at the same time ......Mapacha watatu waolewa siku moja na muda mmoja..


Rafaela, Rochele na Tagiane Raia wa Brazil wamefunga ndoa siku moja na muda mmoja na kuishangaza dunia hapo Jana..
Mapacha hao watatu wenye umri wa miaka 29 walichagua kuvaa mavazi sare siku yao hiyo na kutofautiana katika maua ya kushika mkononi.

Fuatilia zaidi kwa picha hizi.















1 comment:

Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..