Bride: Amanda Jarboe
Groom: Daniel Stanczyk.
The Power Walker Engagement: Typically, the first people to know when you get engaged are those closest to you. Brides-to-be call their mothers immediately to let them know the good news; future grooms phone home to share the good news with their families. When Amanda and I got engaged, the first person to know and congratulate us, was someone we wouldn't suspect. It was Valentine's Day 2012. I had picked up the engagement ring I knew she loved the day before and was nervously hiding it in my pocket. Amanda knew I was popping the question soon, but she never suspected that I'd propose on Valentines day. The plan was perfect. I'd take her on a romantic walk, then ask her to be my wife on our favorite bench in Baker Park. Once I started my speech, I couldn't stop. I was feeling it. I told her that she was my Valentine that day, then--to top the whole speech off--I dropped down to one knee and asked her if she would be my valentine for the rest of my life. Tears welled up in her eyes and we had a great moment....not quite a moment. More like a few seconds. No sooner did she say yes, and then it happened. A woman who was in the middle of a killer power walk around the park stopped by our bench and said "OH MY GOD, did you two just get engaged?!?!?". I said "yes, we did" (in fact I was still down on one knee at this point). The walker slid her headphones off and said "Let me see!", so we showed her the ring. She ooh'ed and ahh'ed at the ring with sweat dripping off her forehead. After offering her congratulations, she said her goodbyes, and power walked out of our lives forever. So, it wasn't my future mother-in-law, my brother, or father who was the first to know that we were engaged. It ended up being a Valentine's day power walker. We wouldn't want to have it any other way.
Kawaida watu wanapozungumzia kuhusu suala la ndoa, kipengele cha watoto huchukua nafasi kubwa na ya muhimu katika mazungumzo ya ndoa na ujengaji wa misingi bora ya familia.
Kwanza kabisa unakumbuka kuwa kupata watoto ni moja ya
lengo la ufungaji maagano ya ndoa. Mwenyezi Mungu amependa kumkabidhi mwanadamu jukumu
hilo la kukiendeleza kizazi cha wanadamu. Ni kutokana na upendo mkuu alionao Mungu,
kamuumba mwanadamu ili kumshirikisha upendo huo. Unapopewa jukumu la kuendeleza kizazi
cha mwanadamu, nakualika ukumbuke kuwa hilo linatendeka katika tendo la kiupendo mkubwa.
Mwenyezi Mungu kaumba ulimwengu na kapanga utaratibu wa kufuata. Unapokwenda nje ya utaratibu huo unakuwa unavuruga mpango wa kimungu, hivyo unakuwa unatenda dhambi. Watoto wanapatikana kihalali katika tendo la ndoa. Nikisema tendo la ndoa simaanishi mahusiano tu, bali namaanisha tendo lilohalalishwa kisheria za dini/mahakama, ndio sababu linaitwa tendo la ndoa.
Mwenyezi Mungu kaumba ulimwengu na kapanga utaratibu wa kufuata. Unapokwenda nje ya utaratibu huo unakuwa unavuruga mpango wa kimungu, hivyo unakuwa unatenda dhambi. Watoto wanapatikana kihalali katika tendo la ndoa. Nikisema tendo la ndoa simaanishi mahusiano tu, bali namaanisha tendo lilohalalishwa kisheria za dini/mahakama, ndio sababu linaitwa tendo la ndoa.
Tendo hilo linafanyika kwa upendo hasa sababu pia chanzo
chake ni upendo. Kwa hivi mtoto unakuwa ni tokeo, au tunda la upendo kati ya baba
na mama. Inapotokea unaendeleza kizazi nje ya ndoa, bado mtoto huyo anakuwa ni tunda
la upendo, isipokuwa tendo lenyewe linakuwa halijahalalishwa.
Watoto wanakamirisha
ule mkusanyiko wa sehemu tatu muhimu ndani ya familia: yaani baba, mama na watoto.
Watoto wanaongeza furaha ya familia, wanachangamsha familia. Lakini zaidi hasa watoto
wanasaidia wazazi kukomaa kiutu, kiimani na kijamii. Unapoitwa baba au mama, unafahamu
wajibu unaobeba wa kulea vema watoto, kuwatafutia mahitaji yao ya msingi na kuishi
kwa heshima kadiri ya hadhi ulioyonayo. Kuwa makini zaidi katika kuwatafutia wanao
furaha na maisha bora ya baadae.
Kuna vitu ulivyozoea kufanya awali lakini sasa huwezi kuvifanya tena. Hii ni neema Mwenyezi Mungu anakupatia katika kukua kwako siku hadi siku, kuongeza ukarimu, upendo, huruma, na kuifanya dunia kuwa paradiso ndogo kwa ajili ya watoto na kizazi kijacho.
Kuna vitu ulivyozoea kufanya awali lakini sasa huwezi kuvifanya tena. Hii ni neema Mwenyezi Mungu anakupatia katika kukua kwako siku hadi siku, kuongeza ukarimu, upendo, huruma, na kuifanya dunia kuwa paradiso ndogo kwa ajili ya watoto na kizazi kijacho.
Ikitokea watoto
hawapatikani katika ndoa, msikate tamaa, endeleeni kutafuta kwa njia za haki na halali.
Na tambueni ya kuwa, ndoa na familia bado inakuwa na hadhi yake na ukamilifu wake
wa kuitwa ndoa na familia sababu hata kama watoto hamjapata, moyoni na kwa upendo
mkuu mnao watoto kwa tamaa mliyonayo na kwa nia njema.
Color : Tangerine
The keki.....wale wa utamu utamu
table setup .... very cool
The decorations......
Nimependa bi dada alivyojistiri ...kachagua gauni nzuri saana
wazazi wakinena jambo hapo
Bi harusi na shostito hapo
Nawatambulisha ndugu zangu sasa
Balozi nae alikuwepo kama mzazi
tukate keki mke wangu
nakupenda mke wangu ...sio maneno yangu hayo ya Bw.Said
tumekua mwili mmoja sasa eh! .......
muda wa madiko diko sasa......
Bwana harusi anakata maji mh!
wageni waalikwa wakiserebuka hapo
- JE WAKE ZAO HAWAWARIDHISHI KINYUMBA ?
2 . AU NI TAMAA TU ZA KUPINDUKIA?
3. AMA YASABABISHWA NA MAPENZI KUPUNGUA ?
NAWAKARIBISHA WADAU WOTE NA WAPENZI WA BLOG HII KUTOA MCHANGO WA MAWAZO JUU YA MADA HII.......
HAYA NI BAADHI YA MAJIBU TOKA KWA WADAU WA TWENDE HARUSINI.
Bilali Said Mkeha :
Wanawake wengi wakisha olewa wanajisahau sana wanapunguza mapenzi kwa waume zao kisha wanaume nao wanatafuta sehemu mpya kujipumzisha 24 May at 06:49
Frank Moshi : NGALAIKI
YAFUATAYO NI MUHIMU KUZINGATIA UKIWA UNAENDA HONEYMOON.
Ni watu wachache wanaopata ushauri wa nini chakuandaa kwa ajili ya kwenda navyo kwenye fungate. Watu huwa busy na harusi, nani atavaa nini nk na kuwaachia maharusi peke yao jukumu zima la maandalizi ya fungate. Ndiyo, jukumu la kuandaa fungate ni la maharusi, ila sababu wote ni wageni katika suala hili ni lazima wapate ushauri wa nini cha kuandaana nini cha kubeba ili wasije kupungukiwa na kitu au kubeba vitu visivyo na ulazima. Hapa nimeandaa listi ya vitu ambavyo unapaswa kuwanavyo kwa ajili ya fungate, unaweza kuprint na kutick pale unapokuwa tayari kwenda honeymoon.
Vitambulisho na dokumenti muhimu
- Passport na IDs
- Leseni ya udereva
- Kadi za ATM
- Uthibitisho wa bookings za hoteli n.k
- Tikets
- Notebook yenye namba muhimu
- Dawa za kupunguza maumivu
- Dawa za kuzuia kuharisha
- Dettol
- Gozi na pamba
- Dawa zozote unazozitumia
- Dawa ya mswaki na mswaki
- Sanitary pads
- Vipodozi unavyotumia
- Pafyumu na deodorant
- Tissue papers
- Chanuo na kitana
- Nail clipper
- Wet wipes
- Sabuni ya kuogea na dodoki
- Losheni na mafuta
- Vipanio vya nywele
- Taulo
- Sandals
- Intimacy jelly
- Pamba za masikioni
- Nguo za kutosha kulingana na hali ya hewa unakoelekea na muda utakaokuwa huko. usibebe nguo za kiofisi (formal), chukua nguo za kukufanya uwe confortable (casual).
- Nguo za ndani za kutosha (wekeza kwenye nguo nzuri za kuvutia).
- Viatu vyepesi vya kuvaa
- Nguo za kuogelea (kama mtapendelea)
- Doti ya kanga / kitenge
- Shuka
- Kamera na betri / charger
- Simu za mkononi na charger (msiwashe simu hadi siku ya kuondoka)
- Sindano na uzi wa kushonea
- Mkasi mdogo
- Handbag
NI NINI WANANDOA MALEGENDARY?
Kurasa hii itahusika na historia ya picha na maelezo ya
mapenzi ya wanandoa waliodumu kwa pamoja kuanzia miaka kumi na
kuendelea,historia hiyo itahusu yafuatayo ;
a.
SIKU YA KWANZA YA KUKUTANA KWA WANANDOA HAWA
b.
MAPENZI MOTOMOTO
c.
CHANGAMOTO KATIKA NDOA YAO
d.
MAFANIKIO WALIYOYAPATA KWA PAMOJA NA
e.
USHAURI WAO KWA WANANDOA WENGINE.
Subscribe to:
Posts (Atom)