HAYA HAPA MASWALI YA KUULIZANA WANANDOA WATARAJIWA KABLA YA KUOANA



Wanandoa watarajiwa walio wengi hufanya maandalizi makubwa ya sherehe ya harusi kuliko maandalizi ya kuishi maisha mapya wanayoyaendea. Ingawa si wote wanaweza wakawa wawazi/wakweli lakini ni vyema mkaulizana maswali yafuatayo kabla ya kuingia kwenye ndoa:-
 1. Kwa nini unaoa/kuolewa?
 2. Una uhakika uko tayari kwa ndoa?(sio harusi)? 
 3 .Matarajio yako ni nini katika ndoa? 
 4 .Mahitaji yako ni nini katika ndoa? 
 5. Ni sababu zipi zinaweza kukufanya uachane na mwenzio?
 6. Vitu gani usivyopenda kutoka kwa mwenzio? 
 7. Vitu gani mwenzio anapenda toka kwako? 



AKAMAI CLOTHING


WAUZAJI WA NGUO NA VIATU MABALIMBALI VYA HARUSI,SENDOFF NA KITCHEN PARTIES.....wapo at (Sinza A), Near Mlimani City/Tower. Call 0717- 398447 au 0753866461

'Yanini kujipa STRESS za kutafuta Nguo na Viatu ?? onana nao usheherekee siku yako kwa amani..




Pure Leather and Elegant shoes for your big day @ Akamai Clothing. On Sale for 100,000/= only




  



                                 The front side , special for Matron a.k.a Maid of honor






                                                 goes out for 200,000 color of your wedding








WHY MEN HAVE BETTER FRIENDS ???



Friendship between women: A woman didn't come home one night. The next morning she told her husband that she had slept over at a friend's house. The man called his wife's 10 best friends. None of them knew anything about it.






Friendship between men: A man didn't come home one night. The next morning he told his wife that he had slept over at a friend's house. The woman called her husband's 10 best friends, 8 of which confirmed that he had slept over, and 2 said that he was still there.

Men are always supporting each other!


UNAZIJUA Njia 10 za KuDate mwanamke akakupenda daima.???


 Kuna baadhi ya wanaume hawajui jinsi ya kuzungumza na mwanamke au msichana. Kwa njia hii wanaume wengi wanaishi maisha ya bila kumvutia mwanamke yeyote.


Hapa kunanjia 15 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ;

1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu kumbu yako ya utotoni, matarajio ya baadae au matamanio yake. Mada hii ya mazungumzo yenu yatafungua milango ya hisia zake ghafla.

2. Wanawake huhitaji mwanaume asiyekuwa na uoga wa kuwamiriki na kuwaongoza. Wakati unazungumza na mwanamke tawala mazungumzo yenu na kamwe usimpe nafasi ya yeye kuanza kufikiri kuwa nini ulichokuwa ukizungumzia.

3. Kuwa makini wakati unapokuwa ukizungumza nae huku akikupatia majibu yasiyo na hisia zozote za mapenzi. Hapo utajua kunakitu, hivyo kama kwa bahati mbaya uko nae karibu kiasi cha kugusana, basi jisogeze pembeni wakati ukiwa unaendelea kuongea ili asishtukie au unaweza kumuona hayuko sawa katika utoaji majibu.. kwa kawaida atakuonyesha ishara, hivyo kuwa nazo makini.


4. Kumbuka hii kauli mbiu "Ucheshi/vituko ni mapenzi". Wanawake huvutiwa sana na wanaume wanaoweza kuwafanya wawe na furaha muda wote. Usijikite zaidi katika kufanya utani unaopita kiasi na kusahau ulichokuwa unaongea. Bali jikite zaidi katika mambo yanayomfanya ajisikie kuwa na msisimko na starehe wakati ukonae.

5. Zama katika undani wa mazungumzo baina yako na yeye. Mwanamke huendana na mwanaume asiyekuwa muoga wa kuzungumzia mambo binafsi kwa ukaribu.
 
6. Wanawake wengi hupenda kujua maoni yako kuhusiana na jinsi unavyomuona. Mwambie vitu unavyoviona kutoka kwake, lakini jaribu kuwa makini ili usitamke vitu vingine vitakavyo msababishia apoteze furaha.7. Epuka kumpa ofa nyingi mwanamke, mwanamke huwa na mashaka na mwanaume anayempatia vitu vingi kwa wakati mmoja ama kila mara. Kwasababu atafikiri vitu unavyompatia ni kutaka kumvutia tu ili umpate kiurahisi. Kitu ambacho baadae kitaleta madhara makubwa.


8. Kama unahitaji kujua njia nzuri ya kuweza kuongea na mwanamke au msichana bila kumfanya asikudharau au kuboreka, basi usitumie njia ya kumuuliza  maswali mengi katika mazungumzo yenu. Bali jaribu kueleza mawazo yako kuhusu vitu flani.
 
 
 9. Kumbuka kauli juu ya kuuliza maswali: Badala ya kumuuliza "wewe umekulia wapi?", uliza "unaonekana kama hujakulia maeneo haya!" Hii itakusaidia wewe kufanya uchunguzi juu yake bila yeye kujua.


10. Usifiche utambulisho wako - zungumza vitu kutoka katika hisia zako, onyesha uhalisia wako katika kuzungumza na usitumie mikogo ya mtu yeyote.

Njia bora ya kufikiria jinsi ya kuzungumza na mwanamke, ni kutambua njia sahihi ya mazungumzo ya furaha na yakimahaba utakayopenda kuitumia, isipokuwa usimuige mtu. Kuzungumza na mwanamke sii vigumu bali nikujua ni vitu gani hasa mwanamke hapendi kuvizungumzia na vitu gani anapenda kuvisikia. Fuata maelekezo hapo juu utaona matunda yake...kisha rudi toa maoni yako hapa.

MUHIMU: Maelekezo haya yote yatafanikiwa kwa mwanamke mwenye kuhitaji mapenzi ya kweli - yani sio kwa wanawake wanaolenga kuchota pesa kwako na kutokomea. Hivyo kuwa makini sana.

lovely Brides maids and Groom Men











Upakaji wa Henna Harusini....



The most AMAZING SIMPLE WEDDING


                                          It was having only 4 guests.


Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..