A friend wedding......ANDY IFOGHALE OGBA & MAUREEN LUCIA OWOBU.



Colours : Light blue,Gold & white.


This is how it was....;



                                      The bride Maureen .....wow! look so simple an cute




                                                           Your mine now!....




                                                    For better for Worse........


                                                                   Our certificate!




                                                            Mhhhhh! speechless !




                                                                Traditional wedding !













                                                   Happy EVER after........!

FREDRICK RINGO AND DONATHA MBUNDA WEDDING -- SUNSET TWIGA HALL



Colours :  Red,White & Black.

Hivi ndivyo ilivyokua....,




                                        mmetuonaaa! hakika Donatha alipendeza na maids wake


                                            u may take a snap....its our day!




                                           bibi harusi wa kesho nae anaingia....





                                                      groom man and maid wakiingia






                                                              Groom men hao !



                                                  Tukate keki yetu eeeh!



 
                                                            naanza mie kukulisha...


                                                                  asanteni wazazi....






                                                       hapa ni mwendo wa rumba tuu......





                                     Dj ongeza sauti eh!.....siku yetu hii.....



                          Natufungue champagne!.....kama ishara ya faraha ya harusi hii..




                                                            Wageni waalikwa....



                                      Wapi ndafu.....chezea mangi wewe!.....yummmie!






                    Mc Ndimbo Reuben kama kawaida yake, akilisakata rumba...



                               Hakika sisi ni mwili mmoja sasa!





                                                            mambo yamechanganya hapa......




                                                             Bibi harusi naye yumo!


                                                Abiria chunga mzigo wako oooh!


link ya page ya TWENDE HARUSINI in face book

https://www.facebook.com/Twendeharusinihttps://www.facebook.com/Twendeharusini

Harusi ya Bw.Furaha mwambola na Bi. Getrude Mbiduka - MWIKA SOCIAL HALL



colour- Purple,yellow and silver

Mambo yalikua hivi,


       
 nimeguswa na mchanganyo wa rangi ya njano na purple kidogo...hakika walipendeza jamani


                                                             Bi harusi Getrude na mumewe ...




 







nimeguswajeee! mashostito walirembuka hasaa...




          Timu nzima ya bridesmaids na groom maids hapo pamoja na Mc MATATA in town
            MC NDIMBO.....



                                                             mambo yalikua hivyo! eeh!


  
Mc NDIMBO kazini....kwa mawasiliano naye namba hizo
                                                            0715436350



 
                                                  cheers !

Ninyweshe nikunyweshe iwe ishara ya upendo.......hongereni sana maharusi




 







                                                      Am speechless!







                                                                      Wageni waalikwa.....





                                          kwaherini na asanteni sana.









                                   JIKEKI.....yummie !



                                           Walioburudisha

HONGERA MAZNAT..........

Wanawake tukiamua na kujituma tunaweza sana...
 
 
Maznat akiwa na mke wa makamu wa rais wa Tanzania mh.Bilal...
kwa habari zaidi zama www.8020fashions.blogspot.com

CAMPAIGN AGAINST FISTULA IN TANZANIA

NINI HUSABABISHA SHIMO LA UZAZI KUTOKEA?

Vyote VVF na RVF husababishwa pale mwanamke anapochukuwa muda mrefu kujifungua kutokana na uke kuto funguka haraka na mtoto kupita. Hivyo mama hulazimika kumsukuma mtoto aliyegoma kutoka na hivyo kunasa katikati ya uke kichwa kidogo nje lakini zaidi mwili wote wa mtoto unakuwa umebaki ndani ya tumbo bado. Hii process inapotokea hivi mara nyingi mtoto hukosa circulation ya damu kichwani na hivyo kufa kabla hajazaliwa.
Hata hivyo, situation inapokuwa hivi mara nyingi mama na mtoto wanaweza kuokolewa kwa njia ya upasuaji (c-section). Ile constant pressure inayokuwa applied kwenye pelvic bone ndo inayosababisha kuachwa kwa shimo baada ya mtoto kutolewa tumboni. Hivyo zile tissue zilizo zunguka uke zinakosa blood supply na hivyo kufanguvu nakusabisha mishipa inayoshikilia mfuko wa mkojo na kinyesi kulegea na kushindwa kubana uchafu ndani (mkojo ama kinyesi) na hivyo kufanya vitoke tuu vyenyewe vyenyewe bila mpangilio.




HILI TATIZO HUTOKANA NA;

  • Mama mjamzito kuwa mdogo sana kutokana na lishe duni (kudumaa)
  • kuto kupata elimu juu ya uzazi na huduma bora za afya na juu ya kujifungua
  • kuto kuwa na madocta wakutosha na wenye uwezo wa kumshughulikia mzazi aliyekubwa na tatizo hili haraka iwezekanavyo
  • kutokuwa na vifaa vya maana mahospitalini
  • huduma na vituo vya afya kuwa mbali sana
  • wenye kutoa huduma za afya haswa kwa akina mama kutokuwa na experience ya kutosha katika fani ya afya
  • kujifungulia nyumbani bila kuwa na muhudumu anayeelewa kazi za kiafya kama za wanawake na jinsi ya kumzalisha mtu
  • kuzaa katika umri mdogo sana




NINI MATOKEO YA SHIMO LA UZAZI?

  • Of course mtoto ndo hivyo hufariki
  • mama hubakia kuvuja uchafu kupitia uke
  • mama huweza kushindwa kutembea kabisa kutokana na damage iliyofanyika ukeni
  • mara nyingi mambo yakishatokea hivi basi wanawake wengi huachika na jamii huwatenga


CAMPAIGN AGAINST FISTULA IN TANZANIA

 
Obstetric Fistula ama shimo la uzazi ni tatizo la kiafya ambalo ni kubwa sana haswa katika nchi zinazoendelea; Tanzania ikiwa moja wapo, sehemu za vijijini zaidi - ikiwa na wanawake wengi haswa wadogo wenye hili tatizo la shimo la uzazi.
Shimo hili la uzazi hutokea pale muda wa mama wa kujifungua unapokuwa umekaribia, hivyo mwanamke anakuwa ana sikia labor pains halafu mtoto anataka kutoka lakini anakuwa amebanwa kichwa. Tatizo hili linapotokea husababisha mishipa ya sehemu za uzazi kulegea na kushindwa kufanya kazi muhimu kama ya kubanisha mkojo na choo kikubwa. Hivyo mwanamke mwenye hili tatizo hujikuta anatokwa na mkojo na choo wakati wowote.
Kuna shimo la mbele la uzazi na shimo la nyuma. Shimo la mbele huitwa - Vesico-Vaginal Fistula (VVF) -shimo hili hutokea katikati ya vagina (uke) na bladder (mfuko wa mkojo).
Na shimo la nyuma ambalo huitwa - Recto-Vaginal Fistula (RVF) hutokea katikati ya vagina (uke) na utumbo unaohifadhi choo kikubwa.
 

 

Tuchangie katika kuwasaidia wanawake kupata matibabu ya haraka ya fistula hapa Tanzania kwa kutoa elimu juu ya ugonjwa huu na kuchangia kifedha harambee za kuwalipia wanawake wanaohitaji matibabu katika hospitali zetu....MUDA NDIO HUU......TATIZO ILI NI LETU SOTE.



Mwanamke anayesumbulia na tatizo la fistula akiwa hospitalini akisubiri matibabu.

Copyright © 2013 Owned and Managed by Bouner Disneysorata Tanzanite! All right Reserved..